MAAZIMIO YA KAZI SHULE YA MSINGI TANZANIA 2023.

Jipatie maazimio ya kazi shule ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi la saba kwa mwaka 2023.


MAAZIMIO YA KAZI SHULE YA MSINGI 2023 KALENDA MPYA KWA KUFUATA RATIBA MPYA YA MIHULA YA MASOMO KWA MWAKA 2023.


MIHULA YA SHULE 2023 /KALENDA YA MASOMO 2023. 

Kalenda ya masomo Shule ya Msingi na Sekondari 2023. Maazimio ya kazi Shule ya Msingi. Schemes of work for Secondary schools. Schemes of work for primary schools.





Nini maana ya Azimio la kazi?

Maana ya Azimio la Kazi.

Azimio la kazi ni mwongozo unaoandaliwa na Mwalimu ambao unaonesha mpangilio wa kufundisha mada mbalimbali katika Muhtasari wa somo husika.

Azimio la kazi shule ya msingi uonesha mpangilio wa Mada Kuu na Mada Ndogo ambazo zitafundishwa darasani kwa muda uliopangwa na kwa kufuata mtaala mpya wa mwaka husika.


MFANO WA AZIMIO LA KAZI 2023 KWA KUFUATA MIHULA MIPYA 2023. 


Mfano wa azimio la kazi Shule ya Msingi 2023. Azimio la kazi afya na mazingira 2023 Darasa la kwanza



UMUHIMU WA MAZIMIO YA KAZI.

  1. Maazimio ya kazi shule za msingi husaidia kumpa nafasi mwalimu anayempokea somo lake kujua pa kuanzia
  2. Kuandaa andalio la somo kunahitaji rejea ya azimio la kazi
  3. Azimio la kazi husaidia kutoa nafasi ya kufanya marekebisho ya mwelekeo inapobidi.
  4. Azimio la kazi kwa shule za msingi husaidia kuonesha wapi mwalimu alipofikia.

Maazimio ya kazi shule ya msingi. Azimio la kazi na andalio la kazi shule ya masingi Tanzania


  KUPATA MAAZIMIO YA KAZI 2023 BONYEZA HAPA KUWASILIANA WHATSAPP (TUMA UJUMBE"NAHITAJI MAAZIMIO YA KAZI 2023")

 


VIPENGELE MUHIMU KATIKA MAAZIMIO YA KAZI MUUNDO MPYA SHULE ZA MSINGI 2023 - TANZANIA KALENDA MPYA.

  1. Muhula ambao azimio la kazi litatumika
  2. Mwezi ambao mada fulani zitafundishwa
  3. Ujuzi, maarifa, stadi na muelekeo anaoupata mwanafunzi baada ya kujifunza mada husika.
  4. Idadi ya wiki katika mwezi fulani ambao sehemu fulani ya mada itafundishwa
  5. Idadi ya vipindi watakavyofundishwa katika idadi ya juma au majuma yaliyooneshwa
  6. Azimio la kazi huonyesha mada kuu na Mada ndogo kama inavyoonekana katika muhtasari wa somo.
  7. Vitendo vya ufundishaji na ujifunzaji. Hapa hujazwa vitendo atakavyofanya mwalimu katika kujiandaa kufundisha mada na vitendo vitakavyofanywa na wanafunzi kwa maelekezo ya mwalimu
  8. Vifaa/zana. Katika sehemu hii mwalimu anapaswa kuonesha vifaa au zana mbalimbali atakazotumia wakati wa ufundishaji wa mada ili kuweza kufanikisha ufundishaji na kuweza kufikia lengo mahususi.
  9. Rejea. Hapa mwalimu ataonesha vitabu alivyotumia kama rejea katika mada anayofundisha
  10. Maoni. Katika safu hii mwalimu atatoa maoni yake kuhusu mafanikio aliyoyaona, matatizo yaliyojitokeza na mapendekezo ya kuboresha ufundishaji.


Maazimio ya kazi Awali 2023| Maazimio ya Kazi 2023 Darasa La Kwanza Hadi Darasa La Saba, Kalenda Mpya Mtaala Mpya Elimu ya Msingi Tanzania.

Tumekuandalia Maazimio Ya Kazi kwa mwaka 2023 kwa kufuata mtaala mpya, Kalenda Mpya na Muundo mpya wa Maazimio Elimu ya Msingi Tanzania kuanzia Elimu ya awali (Chekechea) hadi la saba.

Maazimio ya Kazi pdf zipo na pia Maazimio ya kazi Word/Docs pia zipo ambazo utaweza kuongeza Jina la Mwalimu, Jina la Shule na taarifa zingine kutegemeana na uhitaji wako.

 

Maazimio ya Kazi Awali Shule ya Msingi Muundo Mpya kwa kufuata Kalenda mpya.

  • AZIMIO LA KAZI AWALI KUHUSIANA 2023
  •  AZIMIO LA KAZI AWALI KUMUDU STADI ZA KISANII 2023
  • AZIMIO LA KAZI AWALI KUTUMIA MBINU ZA KIHISABATI 2023
  • AZIMIO LA KAZI AWALI KUTUNZA AFYA 2023
  • AZIMIO LA KAZI AWALI KUTUNZA MAZINGIRA 2023
  • AZIMIO LA KAZI AWALI KUWASILIANA 2023

SCHEMES OF WORK. MAAZIMIO YA KAZI. LESSON PLANS  

KUPATA MAAZIMIO YA KAZI 2023 BONYEZA HAPA KUWASILIANA WHATSAPP (TUMA UJUMBE"NAHITAJI MAAZIMIO YA KAZI 2023")

 

Maazimio ya kazi Shule Za Msingi Muundo Mpya 2023 Darasa la Kwanza hadi la saba.

  1. Maazimio Ya kazi Maarifa ya Jamii 2023 Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.
  2. Maazimio Ya Kazi 2023 Hisabati Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.
  3. Maazimio Ya kazi Kiswahili 2023 Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.
  4. Maazimio Ya kazi 2023 English Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.
  5. Maazimio Ya Kazi ya Sayansi na Teknolojia 2023 Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.
  6. Maazimio Ya Kazi Uraia na Maadili 2023 Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.
  7. Maazimio Ya kazi 2023 Stadi za Kazi Shule ya Msingi  Darasa la kwanza hadi la Saba.



SHUHUDA ZA WALIMU WALIO TUMIWA MAAZIMIO YA KAZI SHULE YA MSINGI 2023. 


Maazimio ya kazi Shule ya Msingi Mihula mipya. Schemes of work new calendar primary school and Secondary school Tanzania






Searched Tags:

Maazimio ya kazi 2023 pdf, hatua za kupata azimio la kazi kwa haraka, maazimio ya kazi kwa shule za msingi, Azimio la kazi 2023, Mfano wa azimio la kazi pdf, Maazimio ya kazi 2022 pdf, Maazimio ya kazi 2022, Azimio la kazi kiswahili darasa la sita, Maazimio ya kazi kidato cha pili, Maazimio ya kazi kidato cha tatu kiswahili kitukuzwe, Azimio la Kazi , Muhtasari, azimio la kazi na andalio la somo, Azimio La Kazi Daras I - Vii




KUPATA MAAZIMIO YA KAZI 2023 BONYEZA HAPA KUWASILIANA WHATSAPP (TUMA UJUMBE"NAHITAJI MAAZIMIO YA KAZI 2023")






CLICK HERE TO DOWNLOAD LESSON PLAN FOR SECONDARY SCHOOLS O-LEVEL AND A-LEVEL TANZANIA



Notes za shule ya msingi pdf, notes za shule ya msingi tanzania, primary education notes, primary school books pdf, primary school notes pdf download, primary school notes pdf  Tanzania, free primary school notes pdf.





Comments

Popular posts from this blog

PRIMARY SCHOOL NOTES SWAHILI AND EGLISH MEDIUM | NOTES MASOMO YOTE SHULE YA MSINGI

SCHEME OF WORK AND LESSON PLAN FORMATS | PLANNING AND PREPARATION FOR TEACHING | SCHEMES OF WORK FOR O-LEVEL AND A-LEVEL

Contact Us

Name

Email *

Message *